Friday, March 22, 2019

Siku Ya Maji Ulimwenguni

Siku Ya Maji Ulimwengu
Wakenya wameungana na wenzao ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji.
Katika kaunti ya kisumu hafla ya maadhimisho hayo yaliandaliwa katika uwanja wa michezo ya Jomo kenyatta  mjini kisumu.


Hafla hiyo imeihudhuriwa na naibu gavana wa kisumu Mathews Ochieng Owili ,meneja mkurugenzi wa KIWASKO Thomas Odongo  Waziri Wa Mazingira Na Maji Salmon Orimba pamoja na viongozi wengine.

Akizungumza kwenye sherehe hiyo,mkurugenzi  wa kiwasco Bwana Thomas Odongo amesema kwamba wanapeana maji kwa familia 25 wasiojiweza. 

Ameongeza kwamba wameanza kampeni itakoyong'oa nanga tarehe 22 mwezi huu hadi tarehe 20 April ambapo watachagua watu 5 kusimamia eneo tano za kusambza maji ya bure maji kisumu. 

Eneo hayo ni pamoja na Kenya -Re Kajulu, Milimani, CBD, Manyatta and Kisumu cha kati. 

Sherehe kama hiyo imeadhinishwa ya kitaifi jijini Kakamega. 

Kauli mbiu ya mwaka huu ni kutoacha mtu nyuma. 

No comments:

Post a Comment

Emotions of the Game!

Football just like other sports brings a tidal of emotions and feelings when it happens.Its never a surprising scene to see a kid breakdown ...