Bodi inayosimamia soka Eufa imethibitisha kwamba wameianza kesi inayokabili timu ya kitaifa ya Montenegro dhidi ya ubaguzi wa rangi kwa baadhi ya wachezaji wa uingereza.
Raheem Sterling,Danny Rose na Callum Hudson-Odoi ni baadhi ya wachezaji walionyeshwa madharau ya ubaguzi wa rangi kwenye ushindi yao ya mechi ya kujipea ticketi kwenye kombe ya Euro 2020.
Timu ya Uingereza almaarufa Simba watatu walilaza vijana wa Montenegro kwa mabao tano kwa moja ugani Podgorica.
Meneja wa Uingereza Gareth Southgate alisema baada ya mechi hiyo kuwa watashtaki timu ya Montenegro kwa UEFA.
Kesi dhidi ya Motenegro imethibitishwa zikiwa pamoja na: kuanza baruti,kutupavitu mbalimbali ugani, kuonyesha tabia za ubaguzi wa rangi, mashabiki kuleta usembifu na kuzuia njia ya kutoka kwa uwanja.
UEFA imetangaza kwamba kesi hiyo litaamuliwa mnamo tarehe16 mwezi Mei.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Emotions of the Game!
Football just like other sports brings a tidal of emotions and feelings when it happens.Its never a surprising scene to see a kid breakdown ...

-
Nyumba na makazi bora ni mojawapo kati ya agenda nne kuu za rais Uhuru Kenyatta... Lakini wakenye wengi bado wanaishi kwenye nyumba du...
-
Timu ya Manchester United walionyesha mchezo mzuri usiku wa jumatano na kuishinda timu ya PSG kwa kile watu wengi wanaita kama miujiza. ...
No comments:
Post a Comment