Tuesday, March 12, 2019


Timu ya Real Madrid wanammezea mate mchezaji wa Chelsea Mbelgiji Eden Hazard.

Hii ni baada ya Real madrid kumteua aliyekuwa kocha wa kitambo Zinedin Zidan kurudi kama kocha mkuu na kuchukua mahali pake Santiago Solari.

Zidan ambaye ni sinamu wa Hazard kwa mpira amerudi klabu ya real madrid baada ya kutoka mwaka jana.

Real madrid wamesema wako tayari kutoa dollar millioni mia moja ili kununua bingwa huyo wa chelsea.

Hazard alisema  kucheza madrid imekuwa kwa ndoto zake kwa muda sasa na angependa sana kucheza chini ya mkufunzi Zidan.

Madrid pia wanataka Neymar juniour na Kylian Mbappe wote kutoka PSG.

No comments:

Post a Comment

Emotions of the Game!

Football just like other sports brings a tidal of emotions and feelings when it happens.Its never a surprising scene to see a kid breakdown ...